Skip to content

Funeral of (Mazishi) Rev.Byulenganya Lwitela in Lexington, KY. Nov 25,2023

Mungu ahilaze mahali pema peponi roho ya mtumishi wake. Kanisa Nazarene vilayani Lexington , Jimbo la Kentucky linawajulisha wapendwa wote kwamba mtumishi huyu kutoka familia ya Bashing’endo kwamba mazishi ni November 25 na saa sita asubuhi (12pm) hapa Marekani jimboni Kentucky, mji wa Lexington

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *